Sauti Sol Wanajivunia Ua Africa wao kwa kuvaa Vitenge

Kenya's best music group Sauti Sol wanavipaji vya kuimba lakini pia wako vizuri kwenye mavazi,image yao kwenye kuvaa kama wasanii wamefanikiwa kuiweka imara sana,
Moja ya mavazi ninayovutiwa nayo ni kuona wasanii kama hawa wanavaa vitenge .


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment