Trump ametangaza tarehe atakayokutana na Kim Jong Un

Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kwamba atakutana na kiongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK), Kim Jong Un, nchini Singapore tarehe 12 mwezi Juni.

Trump aliushangaza ulimwengu April alipotangaza kwamba amekubali mwaliko wa kukutana moja kwa moja na Kim.
Trump alitangaza uamuzi wake saa chache baada ya kuwakaribisha nyumbani Wamarekani watatu ambao wamekuwa wakizuiliwa na Korea Kaskazini ambao waliachiliwa huru na kuruhusiwa kurejea nyumbani.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment