uzinduzi wa Movie ya Mama ya Aunty Ezekiel ‘May 13,2018

Aunty Ezekiel alizindua movie fupi ya Mama tarehe 13 pale Century Cinemax  Mlimani City ,Mastaa mbalimbali walihudhuria kutoa support kutoka kwa waigizaji wenzake ,wasanii wa muziki na wadau wengine wengi wa filamu na sanaa.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment