Wasanii na Ujasiriamali :: Nandy Amekuja na Sabuni na Mafuta Yanayomfanya Aonekane Natural

Sasa hivi wasanii wamekua sana kibiashara mbali na muziki wao nimependa wanaingia kwenye biashara na ku invest kuhakikisha kwamba hawategemei muziki tu.


 NANDY ametangaza rasmi bidhaa zake mwenyewe zikiwa na jina lake ikiwemo Sabuni na Mafuta.Nandy anatueleza imekuaje hadi na yeye ameamua kujitosa katika masuala ya kibiashara…licha ya kuwa bado ni msanii.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment