Weekend Snacks ::: Rice Crackers Recipe from Kile

Kama unapenda Bbq basi inawezekana umeshasikia jina la Chef Kile ambaye anachoma nyama every Saturday and Sunday.
Follow him on instagram @ chefkile 
Leo ni Friday so we nee snacks for the weekend ,leo Kile ame share this recipe ya rice crackers ,you might love it and try to cook for the kids this weekend.

Rice Crackers. Hizi zatengenezwa na unga wa mchele... Kuna namna mbali mbali waweza  kuzispice. |
|
MAHITAJI
Unga wa mchele, Ufuta, chumvi, black pepper, cayenne etc depends na vile upendavyo. Lakini pia mafuta ya kula na maji kwa kukandia. |
|
KUPIKA
Unakanda unakuwa mgumu lakini mlaini.
Katika kusukuma upate vichapati , unatengeneza ball type... Vidogo dogo kisha waweka katikati ya plastic na kusukuma.... Kisha wabandua kwa mahaba na kuweka kwenye mafuta yalopata mto ila sio mkali sana.
Note: Nimenunua unga wa mchele kwa @roiproducts
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment