Ajali ya Bus na Treni imeua watu 7 huko Kigoma

Bus la  Princess HAMIDA trans lenye namba za usajili T 885 DLD linalotoka Kigoma kwenda Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora limegonga gari moshi la mizigo katika eneo la Gungu Wilaya ya Kigoma mjini.

Watu saba wamefariki huku idadi ya vifo ikihofiwa kuongezeka kutokana na hali mbaya za majeruhi.
Inaelezwa kuwa basi hilo nilikuwa likitoka Kigoma kuelekea Tabora.credit::Millardayo

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment