Casto kafunguka kuhusu “Ndoa na Tunda” Achora Tattoo ya jina la Tunda

Mtangazaji Casto Dickson amezungumza baada ya kuchora Tattoo ya mpenzi wake Tunda ambaye anaishi naye kwa sasa ambapo kasema kuwa amefanya hivyo kutokana na mapenzi aliyonayo na Tunda na si vinginevyo hivyo watu wasimfikirie vibaya.

Casto amesema kwamba hataifuta Tattoo hiyo hata kama wataachana na Tunda pengine watu wategemee ndoa yao kwani mpango wa kuachana haupo. Kuhusu ishu ya kumpa Mimba Tunda na suala la kula hotelini kila wakati Casto ameyajibu yote hapa kwenye hiii Video Bonyeza PLAY kutazama FULL VIDEO.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment