Hawa Ndiyo washindi wa tuzo za Mo Simba Awards 2018

Mohammed Dewji ndiye mdhamini mkuu wa Mabingwa wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba SC na Jumatatu altoa tuzo maalum,zilizopewa jina la  ‘Mo Simba Awards 2018’ zilizofanyika Hyatt Regency jijini Dar es salaam kwaajili ya kuwapongeza wachezaji wa klabu hiyo waliofanya vizuri mwaka huu.
WASHINDI WA TUZO ZA MO SIMBA 2018
• GOLIKIPA BORA WA MWAKA
Aishi Manula – WINNER
• Said Mohamed ‘Nduda’
•  Emmanuel Elias Mseja
• BEKI BORA WA MWAKA
• Yusuph Mlipili
Erasto Nyoni – WINNER
• Shomari Kapombe
• KIUNGO BORA WA MWAKA
• Jonas Mkude
• James Kotei
Shiza Kichuya – WINNER
• MSHAMBULIAJI BORA WA MWAKA
Emmanuel Okwi – WINNER
• John Bocco
• Shiza Kichuya
• MCHEZAJI BORA MWANAMKE WA MWAKA
• Rukhia Salum
Zainabu Rashidi Pazzi – WINNER
• Dotto Makunja
• MCHEZAJI BORA MDOGO WA MWAKA
• Ally Salim (GK)
Rashid Juma – WINNER
• Salumu Shabani
• GOLI BORA LA MWAKA
John Bocco (Simba VS Mwadui)
• TUZO YA BENCHI LA UFUNDI
• Pierre Lechantre – Kocha Mkuu
• Masoud Djuma – Kocha Msaidizi
• Mohamed Aymen – Kocha wa Viungo
• Muharam Mohamed – Kipa wa Makipa
• Richard Robert – Meneja wa Timu
• Yassin Gembe – Daktari wa Timu
• Abbas Selemani – Mratibu
9. SHABIKI BORA WA MWAKA
– Fihi Salehe Kambi
10. MHAMASISHAJI BORA WA MWAKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Hamis Mwinjuma (Mwana FA) – WINNER
Salama Jabir – WINNER
• Zitto Kabwe
• Vyonne Cherrie (Monalisa)
• Omary Nyembo (Ommy Dimpoz)
11. MHAMASISHAJI BORA
 Haji Manara
12. TAWI BORA LA MWAKA
• Wazo Hill
Ubungo Terminal – WINNER
• Vuvuzela
13. KIONGOZI BORA WA MWAKA
– Kaimu Rais wa klabu ya Simba, Salim Abdallah Muhene
14. TUZO YA WASIMAMIZI WA MCHAKATO WA MABADILIKO
• Jaji Mstaafu Thomasi Mihayo
• Wakili Damasi Ndumbaro
• Abdulrazak Badru
• Mussa Hassan Zungu
• Yusuph Nassoro
• Brenda Mrema
• Mzee Hamis Boma
• Revocatus Cosmas Sangu
• Hashim Nyendage
• Gervas Alpha Honest
• Emmanuel Metusela Urembo
• Mulamu Nghambi
• Selemani Omari
• Aziz Kifile
• Salim Abdallah Muhene
• Arnold Kashembe
• Omari Bakari Mtika
• Evodius Mtawala
15. TUZO YA HESHIMA (LIFETIME ACHIEVEMENT)
– Selemani Matola – WINNER
• MCHEZAJI BORA WA MWAKA
• Emmanuel Okwi
John Bocco – WINNER
• Shiza KichuyaShare on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment