KIM KARDASHIAN SLAYS IN THIS WHITE LOOK FOR BUSINESS OF FASHION WEST COAST SUMMIT

Kim Kardashian is well known for her style,especially kukaa maungo yake akiwa ameayaacha wazi,Akiwa ameingia kwenye media by storm kupitia mkanda wa video wa ngono but ameweza kutumia chance alopata na kuwa mjasiriamali akiwa na KKW BEAUTY kampuni yake mwenyewe ya cosmetics.Mbali na hii ni influencer wa fashion designers wanamtumia kujitangaza na pia family business ya Keeping up with the Kardashians.

It all seems easy but nafikiri anafanya kazi sana kufika alipo na kupata mafanikio aliyonayo.Sio kila mtu ni kama yeye au atumie njia alizotumia but we should all work hard kufikia ndoto zetu.
With all that being said tucheki all white look ambayo Kim amevaa and watu wote wanaongelea muonakeno wake huu kwa sasa ,Its a simple look a white shirt and skirt tena shati limejikunja but she made it look so sexy and stylish.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment