Mbunge Kubenea Aomba Serikali iweke Mfumo wa Bima ya Afya kwa wanaume wenye wake wengi

Nchi yetu ina wananchi wenye imani tofauti tofauti kama waislamu wanaruhusiwa hadi kuoa wake wanne,na pia kuna makabila pia yanayiruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja.

Mfuko wa Bima ya Afya unaruhusu mwanaume kumuweka mmke mmoja tu which ambao wana wanawake wengi wanashindwa kupata huduma hii.
 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea alihoji Serikali haioni haja ya kuwasaidia wanawake wliiolewa zaidi ya mmoja kuungwanishwa katika mfumo wa bima ya afya ya taifa (NHIF) tofauti na sasa inayotambua mke mmoja. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri ofisi ya Rais (TAMISEMI) Joseph Kakunda.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment