Msajili Wizara ya Mambo ya NdaniAsimamishwa kazi kisa Barua ya Lutheran

Leo June 8, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani, Dr. Mwigulu Nchemba amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Usajili wa Jumuiya za Kidini na Vyama vya Kijamii, Merlin Komba.


Merlin amesimamishwa leo June 8, 2018 ili kupisha uchunguzi wa barua iliyoandikwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT).

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment