Muhimbili yafanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 10,Wataja Gharama ya kupandikiza Figo

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kipindi cha miezi nane sasa imefanikiwa kupandikiza figo kwa wagonjwa 10 .
Akizungumza na waandishi wa habari leo June 26 2018 Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Prof Lawrance Museru amesema upandikizaji huo hadi hivi sasa umegharimu kiasi cha shilingi milioni 210 sawa na milioni 21 kwa mgonjwa mmoja ambapo kama wangeenda nje ingegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1 sawa na shilingi milioni 100 kwa kila mgonjwa.

Kabla ya kuanza upandikizaji wa figo hapa nchini Serikali ilipeleka wagonjwa takribani 230 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.


Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kipindi cha miezi nane sasa imefanikiwa kupandikiza figo kwa wagonjwa 10.
Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Prof Lawrance Museru amesema upandikizaji huo hadi hivi sasa umegharimu kiasi cha shilingi Milioni 210 sawa na Milioni 21 kwa mgonjwa mmoja ambapo kama wangeenda nje ingegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1 sawa na shilingi Milioni 100 kwa kila mgonjwa.
credit ::MillardAyo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment