Uzinduzi wa Zurii Beauty Clinic &Spa

_Hongera sana Dada Jestina G.Meru kwa uzinduzi wa zuriibeautyclinicandspaamabayo ni salon ya kisasa inayo toa huduma za urembo iliyopo ndani ya duka lake la kuuza bidhaa za urembo kwa jina la ‘ZuRii House Of Beauty’ jijini Dar es Salaam siku ya jana
Baada ya Zurii House of Beauty Mjasiriamali Jestina George Meru azindua Zurii Beauty Clinic &Spa
Wadau mbalimbali walialikwa ,Spa ni amazing sana kuanzia mazingira mpaka huduma wanazotoa.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment