Walicho andika watu maarufu kama Wolper ,Snura ,Mh.Ridhiwani Kikwete,Prof. Jay kuhusu kifo cha Sam wa Ukweli

Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo kuthibitisha kuwa Sam wa Ukweli alikuwa akiumwa.


Ridhiwani Kikwete ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram haya
Innallillah Wainnaillah Rajuun
Nadhani Sihitaji kusema Mengi Zaidi ya Kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa Mapenzi yake dhidi yetu Binadamu na hasa Kwako Ndg. Yangu Sam "Mwana Wa Ukae, Mzukulu wa Mwali Bonele wa Kiwangwa." Nimemaliza Kuswali, Naona Meseji ya Katibu Wangu juu ya Msiba huu Mzito kwangu. Allah anipe Nguvu kukabiliana na hili. Tangulia Rafiki Yangu , Tangulia Mpiganaji wangu, Tangulia Mpigadebe wangu. Pumzika kwa Amani Sam Wa Ukweli. #SamWaUkweliShare on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment