Waziri Jafo Atoa Agizo Muhim kwa Wakuu wa mikoa,kulitekeleza ndani ya siku 60Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo amekutana na Waandishi wa habari ofisini kwake Dodoma ambapo ameagiza Wakuu wote wa mikoa nchi nzima kuanza kusimamia ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita ili kuwezesha kusaidia wanafunzi wanaokosa nafasi ya kujiunga na mafunzo kutokana na uhaba wa vyumba vya kujifunzia.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment