Zari amefikisha Million 4 za followers instagram na kusherehekea amewashukuru mashabiki wake na pia ameomba kuchangiwa dolor 1 ambayo ni sawa na 2000.
Ameandika
“Sasa Mnichiangieni $1 kila mtu tujenge clinic ya wanawake sehemu yoyote dar, Najua tukiipata Baba Magufuli atatupa kiwanja….ππ #JustSayingPENDA SANA NYINYI.❤THANK YOU SO MUCH FOR 4M.
LOVE YOU ALLπΉ”
0 comments/maoni:
Post a Comment