40 Ya Mtoto wa Zamaradi Mketema Ilivyonoga + Mastaa wa Bongo Movie na sare yao

Juzi ilikua 40 ya mtoto wa mtangazaji maarufu Zamaradi Mketema .Mtoto wake wa 3 King Salah alifikisha siku 40 tangu kuzaliwa kwake.
Shughuli ilifana sana na Wanakamati walivaa Greenery rangi ya mwaka ya 2016,walipendeza sana.
DECOR ilifanywa na partyboxevents
Irene Paul

Wema Sepetu
Aunty EzekielFaiza Ally

Kajala

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.