COSTECH watoa kauli kuhusu ya Takwimu za TWAWEZA na barua iliyosambaa

Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH imeita Waandishi wa Habari na wanazungumza live.
Vichwa vya habari kwenye Magazeti ya leo ni kuhusu Taasisi ya TWAWEZA ambayo imekua ikifanya tafiti mbalimbali nchiniTanzania, Mtanzania limeandika TWAWEZAkikaangoni huku TanzaniaDAIMA likiandika ‘kuporomoka’ kwa JPM kwaiponza TWAWEZA, wadaiwa kufanya utafiti bila kibali, wapewa siku saba za kujieleza.

credit::millard ayo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment