Hii imekua issue kubwa sababu Diamond anajulikana na wengi wanamuangalia yeye ,ameingia kwenye headlines baada ya kuonekana anavaa kikuku mguu wa kushoto.
Wengi wakimpiga vijembe ila yeye ni msanii ambaye anahitaji kujitofautisha na watu wengine,na kikuku mwisho wa siku ni kila mtu anavyokichukulia,
Mila za Ki Africa au Tanzania wanaume huwa hawavai ,so lazima watu washangae sana.
tena cha gold anacho
Mcheza kikapu Dwayne Wade huwa wanazuka nacho hadi kwenye red carpet na anafamilia na watoto kibwan
0 comments/maoni:
Post a Comment