“Jeshi la wagagagigi koko!, nitakula nao sahani moja, mpaka kieleweke” Lugola

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amesema atahakikisha anawachukulia hatua wale ambao hawamuelewi Rais Magufuli nakusema kuwa wale ambao watakuwa na mawazo ya kuchochea wananchi na rais atawakamata na kuwachukulia hatua.

Lugola ametoa kauli hiyo alipokutana na wadau wa utalii katika ziara yake ya kikazi mkoani Arusha.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.