Kylie Jenner atakua the youngest Billionaire na Us Forbes

Miaka kama miwili sasa ambapo Kylie alianzisha her makeup line kylie cosmetics.Kimkwa sasa ana $ Million 350 kaachwaje mbali sasa.

Kwa huko majuu Kylie hana kisheria tu haruhusiwi hata kunywa pombe maana she is only 20 by the time anafika 21 atakua billionaire tayari.
She is number 27 on Forbes' list of richest self-made women in America, leap-frogging Barbra Streisand ($400m), Beyonce Knowles ($335m) and Taylor Swift ($320m).
By comparison her half-sister, Kim Kardashian West, 37, has to scrape by on a measly net worth of $350m.Kim alitengeneza makalio na anajulikana kwa jishape lake Kylie akatengeneza lips ambazo ndo zimemfanya awe na make up line yake
Wiki hii Kylie ametangaza kwamba hata choma tena lip injenctions zinazojulikana kama dermal fillers.Kylie ana mtoto mmoja wakike Stormi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment