Nisha Bebe Amuonyesha Mpenzi wake wa sasa,Asema walimwengu hawaelewi ''nikiibiwa bwana mnanyamaza kimya ,nikiwa na wa rika langu ben 10''

Nisha Bebe ambeye ni muigizaji wa Bongo movie baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuongelea chochote kuhusu mahusiano yake,sasa amerudi na ku share picha ya mpenzi wake wa sasa.
Nisha kwa sasa ana date na mwanaume kama mzungu hivi na anasema hajali maneno ya watu yeye kashampata wa kwake.
kupitia page yake ya instagram aliwasema pia mashabiki zake ambao anasema ni kama walikua wanafurahia aki bachelor sababi kila anachofanya lazima waseme,
walimwengu sijui mna nini,nikiibiwa bwana mnanyamaza kimya.

nikiwa na wa rika langu ben 10,akinizidi umri kizee,au mlikuwa mnafurahia kujiita bachela? now nimeshampata bado maneno kedekede.

#YEYE NA MIMI KWANI TUNA KASORO GANI? au miye nimezaliwa niliye tu na kuibiwa?

๐Ÿ’™ kama maneno ni sumu.. ningeshazikwa zamani.

Nimeshampata na maneno sijali.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment