Rambi Rambi:: Ephraim Kibonde wa Clouds Fm afiwa na Mke wake


Tunatoa pole nyingi sana kwa msiba huu 
 Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde .
Kwa mujibu wa Rafiki mkubwa na Mtangazaji mwenzie Gadner G. Habash amesema Mke wa Kibonde aitwae Sara Kibonde na amefariki usiku huu akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Hindu Mandal.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment