Reginald Mengi Azindua kitabu chake chenye siri ya Mafanikio yake ,Akisema pia alishawahi kulala chini

Multi-Millionaire Reginald Mengi jana alizindua kitabu chake Autography ambayo inazungumzia maisha yake kutoka kulala chini hadi kufikia mafanikio yake.

Akizungumza kwenye sherehe za uzinduzi wa kitabu hicho cha “I CAN, I MUST, I WILL” leo jijini Dar es salaam, Dkt. Mengi amesema kuwa kitabu hicho kimeleeza namna ya vijana kujiamini na kujituma ili kufikia malengo yao.
Akielezea maisha magumu aliyopitia, Dkt. Mengi amesema katika maisha yake alishawahi kulala chini lakini hakukata tamaa na ndio maana akapata msukumo wa kuandika kitabu hicho.
“Maisha yangu awali nililala chini, wageni wangu walikuwa Panya na Mende lakini baadae nilipokua nikasema ninaweza kuondokana na umasikini na niliweza,”amesema Dkt. Mengi .
Akizungumza kwenye sherehe za uzinduzi wa kitabu hicho cha “I CAN, I MUST, I WILL” leo jijini Dar es salaam, Dkt. Mengi amesema kuwa kitabu hicho kimeleeza namna ya vijana kujiamini na kujituma ili kufikia malengo yao.

Akielezea maisha magumu aliyopitia, Dkt. Mengi amesema katika maisha yake alishawahi kulala chini lakini hakukata tamaa na ndio maana akapata msukumo wa kuandika kitabu hicho.

Maisha yangu awali nililala chini, wageni wangu walikuwa Panya na Mende lakini baadae nilipokua nikasema ninaweza kuondokana na umasikini na niliweza,“amesema Dkt. Mengi .
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment