Steve ‘Muna karidhia kuna Baba wa mitandao, Peter ndo Baba halali’

Mchekeshaji Steve Nyerere amezungumza baada ya familia ya Peter kukaa na kukubaliana mahali msiba utakapofanyika ambapo kwa mujibu wa Steve Nyerere amesema kuwa Muna ameridhia msiba ufanyike nyumbani kwa Peter ambaye mwanzoni alisema kuwa yeye ndo baba mzazi wa mtoto huyo.
Pamoja na hilo Steve Nyerere aliuzwa kuhusu post ya Muna kusema kuwa Casto Dickson ndiye Baba wa Mtoto ambapo Steve kasema kuna baba wa mtandao na Baba halali, Peter ndiye Baba halali.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment