Ufaransa watwaa Kombe la Dunia 2018

July 16 2018 ilichezwa game ya fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2018 kwa kuzikutanisha timu za taifa za Ufaransa dhidi ya timu ya taifa ya Croatia katika uwanja Luzhniki nchini Urusi wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 81000.

Ufaransa ambao wamewahi kutwaa taji hilo mara moja kabla ya leo na kufika fainali mara kadhaa walicheza dhidi ya Croatia, ambayo ndio mara yake ya kwanza kufika hatua ya fainali ya michuano hiyo, Croatia imepoteza mchezo na kuishia kupata magoli mawili yaliofungwa na Ivan Perisic dakika ya 28 na Mario Mandzukic dakika ya 69.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment