UTEUZI :: Rais Magufuli ateua Kamishna mpya wa Magereza

aarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais leo July 13, 2018 ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Naibu Kamishna wa Magereza Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza.

Uteuzi huu umeanza leo July 13, 2018.
Kabla ya uteuzi huu Kamishna Jenerali wa Magereza Kasike alikuwa Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) Ukonga, DSM.
Kamishna Jenerali wa Magereza Kasike anachukua nafasi ya Dkt. Juma Alli Malewaambaye amestaafu.
CREDIT::millardayo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment