Waziri Mwakyembe na Wasanii Walivyokubaliana juu ya Tozo ya Milioni 5

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amezungumza na wadau wa sanaa wakiwemo wasanii wa muziki kujadili kuhusu tozo ambayo imeanzishwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Waziri Mwakyembe amewataka wasanii wachache pamoja na wadau wa sanaa wakae na BASATA kujadili namna kubadili huo mfumo.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.