Hamisa Mobetto ana Kitengo Maalum cha Kushughulikia Watu wanaomtukana

Mwanamitindo Hamisa Mobetto, msanii Barnaba, mchekeshaji Dullavani pamoja na muimbaji Shilole wamekula shavu la kuteuliwa na Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano (TCRA CCC) kuwa mabalozi wa kampeni ya ‘Be Smart’ inayojihusisha na kuelimisha vijana kuondokana na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii mashuleni.

Wakati wa utambulisho wa wasanii hao kila mmoja alipata nafasi ya kuongea na kuulizwa maswali na waandishi wa habari ndipo ilipofika zamu ya Hamisa Mobetto ambaye alijibu swali la muandishi kuhusu kutukanwa kwake mtandaoni je atachukua hatua yeyote ya kisheria au atasamehe..?
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment