Kumbe Ilikua Kweli :: Mwarabu Fighter Asema Alifukuzwa na Daimond WCB Kisa Kutoka Kimapenzi na Sarah wa Harmonize

Aliyekuwa mlinzi (Bodygurd) wa msanii na boss wa lebo ya muziki Tanzania WCB Wasafi Diamond Platinumz anayejulikana kwa jina la Mwarabu Fighter afunguka mengi kuhusiana na hatma yake kufanya kazi tena na Diamond.Mwarabu alifunguka baada ya kupiga stori na Bongo Five,baada ya kukutana nae maeneo ya Samaki samaki mahali ambapo Diamond pamoja na timu yao nzima ya WCB walikuwa na tafrija ya Rom Jones inayohusu birthday yake.Mwarabu alifunguka mengi sana na hasa baada ya kuulizwa kuhusu kurudi tena kufanya kazi WCB.

Mwarabu Fighter inasemekana alifukuzwa na boss wake Diamond Platinumz kwa kile kinachosemekana kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na mpenzi wake Harmonize Sara. 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment