Muziki Mzuri: Young Dee katuletea ‘NAOA’

Ukweli uliopo bongo kwa sasa unaweza usijue Kiki ipi au ukweli pia ni upi 

Kutokea kwenye game ya Bongofleva rapa Young Dee alizua gumzo mtandaoni baada ya kusambaa picha zikimuonesha kaoa, sasa leo August 13, 2018 mkali huyo ametuletea Audio yake mpya aliyoiita ‘NAOA’Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment