Orodha ya Uteuzi Alioufanya Rais Magufuli leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuliamefanya teuzi mbalimbali siku ya leo na kufanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya, Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Msafiri Simeoni wa Kwimba amepelekwa Chato, Senyi Simon amepelekwa Kwimba

Wafuatao ni baadhi ya walioteuliwa na Rais Magufuli kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri na Majiji
Halmashauri ya Misenyi Mkurugenzi ni Innocent Mbandwa
Jiji la Mbeya Mkurugenzi ni James Kasusura
Halmashauri ya Malinyi Mkurugenzi ni Mussa Elias Mnyeti
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ni Maulid Madeni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke ni Lusibilo Mwakabili
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo ni Beatrice Kwai
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kigamboni ni Mwilabu Nyabusu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa mkoani Dodoma ni Mustapha Yusuph
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi ni Tatu Seleman Kikwete
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko ni Masumbuko Stephano
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Katavi ni Ramadhan Mohamed
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama ni Mugalane Alphonce
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kyela ni Lucy Mganga
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilombelo ni Eng. Stephan Kaliwa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa ni Asailiwe Lucas
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ukerewe ni Esther Chaula
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru ni Emmanuel Mkongo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Simiyu ni Michael John
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ikungi ni Justice Laurenc
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment