REST IN PEACE MZEE MAJUTO ,MASTAA KAMA IDRIS SULTAN,WEMA SEPETU ,MH.RIDHIWANI KIKWETE WAMLILIA

Taarifa za kifo cha Mzee Majuto imewashtua wengi sana na taarifa kutangazwa kila mahali , kifo kilichotokea leo August 8,2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili  baadhi ya watu maarufu wameonyesha kuguswa na msiba huo kupitia kurusa zao za instagram.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Ridhiwan Kikwete ameandika “Mzee Amri Athumani Baba , Rafiki na Mzee wangu Nakushukuru kwa Maisha Uliyoyaishi. MWENYEZI MUNGU Ana sababu katika Kuonyesha Upendo wake. Tunakushukuru kwa Kizazi Chako Pia…Alhaj Amri Majuto. Salamu za Pole ziende kwa Katibu Tawala Wangu wa Bagamoyo Ndg. Hamza Athumani na Nduguze wote. Tuko pamoja sana.Pumzika kwa Amani Baba Majuto”

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.