Shilole Atumia Kiingereza Kutoa Mwaliko wake Kwa Raidi akapate chakulA Shishi Food

Mjasiriamali na Msanii wa Bongofleva na Bongo Movie Shilole a.k.a Shishi ambae pamoja na usanii sasa hivi ameingia kwenye biashara ya kuuza chakula, amemualika Rais Magufuli kumpa support kwenye biashara hiyo kwa kwenda kumtembelea na kula chakula kwenye Mgahawa wa Shishi Food.
Shilole ameamua kumualika Rais Magufuli na kuweka msisitizo kwa kutumia lugha ya kiingereza, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kumtazama.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment