Ujumbe wa Zari toka kwa Gigy Money "Wewe ni Rika la Mamagu Nalingana na Mwanao Usiniongelee Vibaya Kwani Nikimtaka Diamond Nampata"

Msanii wa muziki Bongo na video vixen, Gigy Money amejibu kile alichoanzisha Zari The Bosslady.

Utakumbuka kwenye moja ya post za Zari kwenye mtandao wa Instagram alikuwa anazindua chuo, sasa kuna shabiki alim-tag Gigy kwenye post hiyo na Zari akajibu asihusishwe na masuala ya Gigy.

Sasa Gigy Money amejibu hilo, kwenye mahojiano na BongoStarsExclusive ameeleza kushangazwa na kauli hiyo.

"Dada Zari mimi ni type yako? usihusishwe na mimi kwa hiyo mimi mdudu au? kweli ukiwa na hela unabadilika kiboko yake Hamisa. Hata ukisema huyo Diamond nikimtaka nampata, kwa kitu gani ambacho sina na mwenzangu anacho, mimi mzee vile? akaah!!.

“I know ni mama yangu. Mama, mgeni, nchi jirani tumekupa kiki usiniongelee vibaya tena. Nakuomba yani sector ya mapenzi isikufanye ukatuchukie Tanzania nzima. Aliyekuchifua ni Chibu sio Gigy, do not talk shit about anybody. So my dear Zari i don’t know you, i appreciate you and even if we are not on the same level am growing, am gonna be there so watch me madam,”  amesema Gigy Money.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment