Wema Ameomba Kupumzishwa na Mashabiki Zake Kisa Mwanaume anaesemekana ni Mpenzi wake

Miss Tanzania 20016 na mwigizaji Wema Abraham Sepetu amekaa kimya mwisho wa siku akaona bora asema ,kumekua na picha ya kaka ambaye inasemekana ni mpenzi wake Wema ambaye ameonekana aki comment kwenye ukurasa wa kijana huyo aliyetambulika kwa jina la Rock Charles .
Rock Charles aliandika caption kwenye ukurasa wake wa instagram 
Its has been long time tz,am coming to see my wife to be 
wema nae akionekana kujibu kwenye comment 
aww ,welcome hubby 
Wema amekanusha kujua kinachoendelea na kusema hamjui kijana huyo na akisema wanaojua instagram vizuri waangalie watajua kwamba comment hiyo ni ya ku edit.
“Aslaam Aleykum Hii kitu imekuwa ikisambaa sana and I know nothing about it… Natumiwa na watu wa karibu nabaki natoa macho… Jana nimeona ya kwanza nd I jus decided kupost those flowers na kuandika mnanitafuta Jamani huyo mtu hapo juu kwanza simjui And hizo edits mnazofanya za kuonesha nimecomment sio Mimi…
“Kwa wanaojua Instagram vizuri mtaona kabisa kwamba hio ni EDIT na sio original comment kama ya kawaida inavyokuwa nimesema mara moja na ntasema tena, Msione watu wamekaa kimya mkaanza kuwatafutia vijimambo vya ajabu vya kuzua zua nipumzisheni basi… Maana mmeshanisema mpaka”
“Mmetukana mpaka mmeninanga mpaka nimekaa kimya tu sasa this is a lil bit deep sipendi maneno maneno jamani… Kwani kipi kikubwa nimewakosea mpaka kila siku hamuachi kuniandama… Mbona nimekaa kimya tu na sina habari na mtu lakini kutwaaaa on my Case…. Sipendi jamani kuharibiana vibe za Eid tu SITAKI JAMANI NIACHENI Eid Mubarak my Loves”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment