Zamaradi Asema Hakushinikiza Dina Marious Kufukuzwa Kazi Clouds Fm


Zamaradi amekua kwenye headlines wiki hii ,kwa kuanza na waraka mzito aloandika kuhusu watu kumsema alilazimisha kuchangiwa kwenye 40 ya mtoto wake ,kukaja swala la mshono alio discuss na Hamisa Mobetto baadae aka amua kushona kwengine,mambo ya ma group ya whatsApp leo kuna hili la Dina Marious ikisemakana kwamba alisababisha Dina kufukuzwa kazi.
Akiongea na Bongo 5 akiwa ana gawa pamper kwa wanawake hospitalini alisema haya kuhusu issue ya Dina kufukuzwa kazi na yeye kusemekana amehusika.


we wish tusikie upande wa Dina nae akisema kuhusu hili jambo,maana Zamaeadi yeye amegoma kua haukuhusika na chochote kile.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment