Ben pol Awashangaza Wengi Baada ya Kuvaa kiatu chenye kisigino kirefu

Mkali wa R&B bongo Ben Pol ambaye sasa hivi anatamba na kibao chake kipya cha Why akiwa amemshirikisha msanii kutoka WCB Harmonize .
Ben Pol amepost picha akiwa kavaa kiatu chenye block heel ambacho kwa standards za Kibongo bongo watu hawajazoea wanaona huyu vipi???
viatu ni vyeupe vinakamba na kisigino cha block
Hivi viatu vinavaliwa sana basi tu watu bongo washamba hatujui,
Ben alivaa all red na hivi viatu
Kanye ashawahi kuvaa mwaka 2015 Harry Styles wa One Direction


Justine Bieber 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.