Designer Maarufu wa Unyayo Mwekundu Christian Louboutin Kakuletea Eye Shadow za Matte na Mettalics

Karibu wadada wote tunamjua Christian Louboutin ambaye alikuja na zile CL zilikick sana bongo,na baadae akaja na lipsticks .

Sasa good news kwa wapenda makeup kaja na eye shadows  za Matte na Mettalics .Zitauzwa $50 yes hii kama Laki moja na ushehee.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment