Hamisa Mobetto Aja na video ya ‘Madam Hero’

Hamisa Mobetto ameachia video ya wimbo wake  ‘Madam Hero’ huku ndani ikiwa na matukio yasiokuwa yakawaida. Mrembo ambaye amezaa mtoto mmoja na Diamond, kupitia video ya wimbo huo ameigiza anafukuzwa na ndugu wa mume akiwa na mtoto mdogo, tukio ambalo limeanza kuwa gumzo mitandaoni kutokana na mrembo huyo kutokuwa na mahusiano mema na mzazi mwenzake, Diamond.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment