Huyu Ndo Shemeji Yetu Kwa Msanii Ray C

Waswahili wanasema mapenzi kikohozi

Queen wa Bongo Fleva Ray C ameamua kumuanika mpenzi wake kwa mashabiki wake mwenye asili ya kizungu kupitia ukurasa wake wa instagram.
Ray C aliwahi kuwa mapenzini na msanii Lord Eyes kutokea kwenye kampuni ya WEUSImiaka kadhaa iliyopita lakini baada ya kuachana hakuwahi kuweka wazi wala kuzungumzia chochote kuhusiana na mahusiano yake mapya  lakini leo September 17,2018 amemuweka wazi mpenzi wake wa sasa.

Kutokana na comments za mashabiki wengi wameonekana kufurahishwa na kitendo cha Ray C kufanya hivyo huku wengine wakionekana kumtaka achague wa hapahapa nchini. 
credit::millardayo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.