Inasikitisha :: Waliofariki MV Nyerere watu 224, Wanawake 126 watoto 27, kila mfiwa kapewa laki 5 na Serikali

Watu waliopoteza maisha mpaka sasa kwenye ajali ya kivuko cha MV Nyerere ni 224, wanawake watu wazima 126, Wamaume watu wazima 70 huku watoto wa kike 17 na wakiume 10 wakipoteza maisha.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Uchukuzi Mhandisi, Isack Kamwelwe kwenye shughuli za mazishi ya Miili ya watu 9 ambao hawajatambuliwa na ndugu zao katika kisiwa cha Ukara.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment