Kiswahili kufundishwa shuleni Afrika Kusini

Good news hii kwa sie tunaopenda kiswahili kiende mbali zaidi.Somo litakua option huko kwenye shule za Africa kusini.

 Waziri wa Elimu nchini Afrika Kusini, Angie Motshekga ametanganza kuwa lugha ya Kiswahili imeidhinishwa kama lugha ya pili itakayofundishwa mashuleni kuanzia mwaka 2020.

Waziri Motshkega amesema “Lugha hiyo imeidhinishwa na Baraza la Mawaziri wa Elimu(CEM) kutoka kwenye orodha ya lugha 15 zisizo rasmi zilizoorodheshwa kama masomo yasiyo ya lazima“
Kiswahili ni lugha ya tatu kwa ukubwa katika mawasiliano barani Afrika baada ya lugha za Kiingereza na Kiarabu na ina uwezo wa kusambaa kwenye nchini ambazo hazijawahi kuitumia.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.