Shoe Game:: The Heel Watch by Christian Cowan and Giuseppe Zanotti Collab

Wakati New York Fashion Week ikielekea ukingoni ,wengi kwa sasa wanaongelea viatu vya designer Christian Cowan ambaye kwenye siku ya show yake models ndo walivaa sandals hizi.

Sandals zimetengenezwa kama kwa strap ya saa ya Rolex na zinakuja in Gold and black.
Ofcourse ni collabo kabambe na designers hawa wawili na kila mtu anaongelea sandals hizi ambazo zinauzwa $1995 kibongo bongo ni kama 4.5 Million hivi mkwanja wa Kiwanja kabisa.
thoughts????
 Zilivyovaliwa on the runway

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment