Ali Kiba Afuta Video ya Wimbo wa Hela kwenye Youtube Channel yake baada ya kupondwa na Mashabiki??

King Kiba amefuta video ya wimbo wake wa Hela
Muimbaji huyo aliachia kazi hiyo usiku wa kuamkia Jumatano hii baada ya kukaa muda mrefu bila kuachia kazi hali ambayo iliwafanya mashabiki wake wachukizwe na kitendo hicho.
Hata hivyo baada ya kuachia wimbo huo, mashabiki walionekana kutoridhishwa na kazi hiyo huku wengine wakidai kwamba wimbo huo ameuridia wimbo wake wa zamani.
Mapema leo baada ya kuupachika wimbo mtandaoni, mashabiki walionekana kuuponda kwa madai amerudia wimbo wake wa zamani.
Wadau wa mambo wanadai huwenda komenti hizo ndio nimemfanya muimbaji huyo kuondoa video hiyo YouTube.
jurmi_jurmi_
Kibakuli Umetuzengua umetuletea Utumbo gani xaxa… Nyimbo ya 2012 umekuja ifanyia video 2018 Naona xaxa Next project itakuwa “kimaso maso”…TUTAKUWA TEAM HARMORAPA SASA…COZ HARMORAPA AMEKUSHINDA SASA.
oyce4real2017
@officialalikiba mbona nyimbo hatuipati YouTube au mie tu.
ohnsonngakoma
sasa braza kiba mbn unawatesa shabik zako tangaza umestaafu muziki wajue….wabaki wanaangalia nyimbo zako kam clip za kina ronaldinyo @officialalikiba.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment