Baraka The Prince Abadili Dini na kuwa Muislam jina lake ni ABDULMALIK

Mwimbaji wa Bongofleva Baraka The Prince ambae ameachia ngoma mpya ya ‘furaha’ inayopatikana kwenye Youtube yake ya AfricanPrinceVEVO .
Ameongelea ishu zake mbalimbali ambapo amekiri kwamba ni kweli amebadili dini kutoka kuwa Mkristo na sasa ni Muislamu na jina lake jipya ni AbdulMalick.


Hapa akiongea na Millard Ayo


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment