“Dogo Janja alikuja kunieleza/ alikuwa kwenye fumanizi ''Dr.Chris Mauki

aada ya kusambaa picha inayomuonesha Dogo Janja akiwa ameenda kumtembelea mtaalamu wa Saikolojia Dokta Chris Mauki kitu kilichoibua maneno ya kwamba Dogo Janja anamsongo wa mawazo uliodaiwa kusababishwa na kugombana na mke wakeIrene Uwoya kisha Kutengana.
Baada ya kupata tetesi hizo ikabidi iwatafute wote wawili ambao wanadaiwa kuwa kwa sasa hawaishi pamoja, hali iliyofanya wawili hao kuto patakina ndipo alipopatikana Dkt. Mauki ambaye ameeleza kuhusu Dogo Janja kwenda kumtembelea ofisini kwake je ni kweli anamsongo wa mawazo unaosababishwa na ugonvi kati yake na mkewe Irene Uwoya…?

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment