Girl Power :: Witness Verael Dereva Mwanamke wa basi la DAR-ARUSHA

Kutana na Witness Verael mwenyeji wa mkoa wa Arusha, Dereva mwenye uzoefu wa miaka wa 12, alianza udereva mwaka 2006 alianza kwa kuiba gari ya baba yake akiwa ameipaki nyumbani, baada ya kujua kuendesha alianza kuendesha daladala katika jiji la Mwanza na baadae kuhamia coaster Moshi Arusha mpaka sasa anaendesha mabasi makubwa ya abiria yaendayo mikoani na nje ya Nchi,
Kwasasa Witness anafanya kazi katika mabasi ya Dar Lux akifanya safari za Dar Arusha AyoTV ilifika kujionea kazi zake tangu akifika asubuhi kabla ya safari anafanya nini mpaka anapoanza safari ya kwenda Arusha tuungane nae kutokea Stand ya Dar Lux shekilango.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment