Huyu ndo Mume mtarajiwa wa Wema Sepetu

Miss Tanzania mwaka 2006  na msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu ameamua kumtambulisha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Wema ameposti picha hiyo na mwanaume mmoja na picha hiyo inaonekana kabisa Wema na mwanaume huyo wako kitandani wamelala ingawa mpiga picha ni Wema mwenyewe akipiga Selfie.
Na Wema alifungia comments kwenye post hii 

 Wema amekaa muda mrefu bila watu kumtambulisha  mwanaume wake kwani alishazoea kuwapost wanaume anaokuwa nao kwenye mahusiano may be this is serious 
Wema Sepetu amefanikiwa kuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti na wanaume wengi hasa mastaa wengi wao wakitoka hapa Tanzania lakini hakuweza kudumu nao licha ya wengi kuonekana kama walikuwa na mahusiano ya kweli na watu walihisi watadumu lakini mwisho wa siku waliachana.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment