Inasemekana Huyu ndo Girlfriend Mpya wa Diamond Platnumz anaitwa Kimnana

Ni msichana mrembo na ni video vixen ambaye anayedaiwa kutoka kimapenzi kwa sasa na Rais wa WCB, Diamond Platnumz ingiwa hakuna aliyewahi kuthibitisha hilo.
Wawili hao wameonekana kuwa karibu zaidi siku za usoni baada ya wiki iliyopita kuonekana wakila bata kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Diamond iliyofanya kwenye Yatch.
Jumapili hii pia kuna video ambayo inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Diamond akishikwa shikwa ndevu na mwanadada ambaye anadhaniwa kuwa huwenda akawa ni Kim.
Angalia picha za muonekano wa mrembo huyo. Picha hizi nimepigwa na Rommy3d pamoja na Petefarasi9.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment